Kwanini Yesu?
Wengi wanafikiri kwamba Yesu Kristo anataka kuwa mtu wa dini. Wanafikiri Yesu alikuja kuondoa raha zote katika maisha, na kutupa sisi taratibu zisizowezekena tuishi nazo. Wako tayari kumwita ni kiongozi mkubwa wa tangu zamani, lakini wanasena yeye si muhimu kwa maisha yao leo.
Josh McDowell alikuwa ni mwanafunzi wa chuo aliyefikiria Yesu alikuwa kiongozi mwingine wa kidini aliyeweka taratibu zisizowezeka kuishi pamoja nazo. Alifikiri Yesu alikuwa si muhimu kabisa kwa maisha yake.
Kisha siku moja katika mjumuiko wa wanafunzi katika meza ya chakula cha mchana. McDowell aliketi karibu na kijana mchangamfu aliye na tabasamu kubwa . Akiwa ameamsha hamu ya kudadisi, akamwuliza kwanini alikuwa mwenye furaha sana. Jibu lake la haraka lilikuwa, “Yesu Kristo”
Yesu Kristo? McDowell akasirika, akarudishia swali tena:
“Oh, Kwa haki ya Mungu, usiniletee mimi huo upuuzi. Nimechoshwa na dini; Nimechoshwa na kanisa; Nimechoshwa na Biblia. “usiniletee mimi huo upuuzi kuhusu dini.”
Lakini kijana ambaye hakushangazwa kwa utulivu akamtaarifu,
“Bwana, sikusema dini, nimesema Yesu Kristo.”
McDowell alishangazwa. Hakuwahi kumfikiria Yesu zaidi ya mtu wa dini, na hakutaka sehemu yoyote ya unafiki wa kidini. Lakini bado hapa palikuwa na mwanamke mkristo akimzungumzia Yesu kama mtu fulani ambaye amemletea maana kwa maisha yake.
Kristo alidai kujibu maswali yote ya kina kuhusu kuwapo kwetu. Katika wakati mmoja au mwingine, wote tunauliza ni kitu gani maisha yapo kwacho. Umewahi kuangaza kwenye nyota wakati wa jioni ya giza jeusi na kujiuliza nani ameziweka pale? Au umewahi kuona kuzama kwa jua (mawio) na kufikiria kuhusu masuala makubwa ya maisha:
- “Mimi ni nani?”
- “Kwani nipo hapa?”
- “Wapi ninakwenda baada ya kufa?”
Ingawa wanafalsafa wengine na viongozi wa dini wametoa majibu yao kwa maana ya maisha, Yesu Kristo pekee amethibitisha uwezo wa mamlaka yake kwa kufufuka toka wafu. Wakosozi/wakosoaji kama McDowell ambao tangu mwanzo walidharau (Saa Yesu Alifuka Wafu) wamegundua kuna ushahidi unaothibitisha kwamba ni kweli ilitokea.
Yesu anatoa maisha yenye maana ya kweli. Alisema maisha ni zaidi ya kupata fedha, kufurahi, kuwa na michezo, kufanikiwa na kisha kuishia makaburini. Lakini bado watu wengi wanajaribu kutafuta maana katika umaarufu na mafanikio hata watu maarufu wakubwa…
« Previous | Next »