Yesu ni nani Halisi?

Ukweli kuhusu Yesu Kristo.

  • Kiingereza Home
  • Swahili Home
  • Kutuma Maoni

Kulikuwa na Hila za Da Vinci?

Watunzi wa Siri

Inapokuja kwenye injili za kibaguzi, karibu kila kitabu kinabeba jina la sifa ya Agano Jipya: Injili ya Philipo, Injili ya Petro, Injili ya Maria, Injili ya Yuda, na kuendelea . (Vinakuwa kama orodha ya majina katika shule ya parokia.) Hivi ni vitabu ambavyo nadharia ya ushiriki kula hila kama Maandiko ya Da Vinci yanajikita. Lakini ziliandikwa na watunzi wao waliokusudiwa?

Injili za Kibaguzi zinawekewa tarehe karibia miaka 100 hadi 300 baada ya Kristo, hakuna msomi wa kuaminika anaamini chochote kati ya hivyo ambavyo vingeweza kuandikwa na wenzi-jina (somo) wao. Katika maktaba ya James M. Robinson’s Maktaba ya Nag Hammadi , tunajivunza kwamba Injili za kibaguzi ziliandiwa hasa kwa kiasi kikubwa na watunzi wasiojulikana wasiohusiana.” [12] Dr. Darell L. Bock, profesa wa masomo ya Agano Jipya katika seminari ya Theolojia ya Dallas, aliandika,

“Sehemu kubwa ya maandishi haya ni vizazi vichache viliondolewa toka katika misingi ya imani ya kikristu, pointi muhimu kukumbuka wakati wa kutathmini mada ziliyomo.”[13]

Msomi wa Agano Jipya Norman Geisler alitoa maoni kwa maandiko mawili ya kibaguzi, Injili ya Peter na Matendo, ya Yohana. (Maandiko haya ya Kibaguzi yasichanganywe na vitabu vya Agano Jipya vilivyoandikwa na Yohana na Petro):

“Maandiko ya Kibaguzi hayakuandikwa na mitume, isipokuwa watu wengine katika karne ya pili (na baadaye) wakijifanya kutumia mamlaka ya kitume kuendeleza mafundisho yao wenyewe. Leo tunaita suala hili uongo na uzushi-gushi.”[14]

Injili za Kinostika (Kibaguzi) si maelezo ya kihistoria ya maisha ya Yesu bali badala yake ni maneno ya wachache, yaliyofichwa katika fumbo-siri, yakiacha maelezo ya kihistoria kama majina, sehemu na matukio. . Hii ni kinyume kabisa na Injili za Agano Jipya ambazo zimekusanya maelezo ya kweli yasiyo na idadi kuhusu maisha ya Yesu, idara na maneno.

« Previous | Next »

Pages: 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

Yesu ni nani Halisi?

  • Yesu Alikuwa mtu Kweli?
  • Kulikuwa na Hila za Da Vinci?
  • Yesu ni Mungu?
  • Injili ni za Kweli?
  • Yesu Alikuwa Masiha?
  • Je, Yesu Alifufuka toka Katika Wafu?
  • Yesu ni Muhimu Leo?

MASWALI ZAIDI KUHUSU YESU

  • Yesu na Maria Magdalena: Walikuwa na ndoa ya siri?
  • Injili za Siri: Kuna maandiko ya siri kuhusu Yesu?
Copyright © 2025 - JesusOnline
Menu
  • Yesu Alikuwa mtu Kweli?
  • Kulikuwa na Hila za Da Vinci?
  • Yesu ni Mungu?
  • Injili ni za Kweli?
  • Yesu Alikuwa Masiha?
  • Je, Yesu Alifufuka toka Katika Wafu?
  • Yesu ni Muhimu Leo?
  • Yesu na Maria Magdalena: Walikuwa na ndoa ya siri?
  • Injili za Siri: Kuna maandiko ya siri kuhusu Yesu?