Siri kulinganisha Historia
Injili za Kinostiki (Wachache) si maelezo ya kihistoria ya maisha ya Yesu bali badala yake ni maneno ya wachache, yaliyofichwa katika fumbo-siri, yakiacha/yakiruka maelezo ya kihistoria kama majina, sehemu na matukio. Hii ni kinyume kabisa na Injili za Agano Jipya ambazo zimekusanya maelezo ya kweli yasiyo na idadi kuhusu maisha ya Yesu, idara na maneno.
Nani ungemwamini zaidi – mtu anayesema, “Hey, nimepata habari za siri ambazo zilidhihirishwa kiajabu na kisiri kwangu, au mtu fulani ambaye anasema, nimetafuta ushahidi wote na historia yote na huu hapa ushahidi kwa ajili yako ili uweke akilini. Tukizingatia swali hilo akilini, fikiria kauli mbili zifuatazo, ya kwanza kutoka katika Injili ya Wanostiki (Wajuaji wachache) ya Thomaso (c. 110-150 A.D.) na ya pili kutoka Injili ya Agano Jipya ya Luka (c. 55-70 A.D.).
- Hizi ni kauli zilizofichwa ambazo Yesu anayeishi alizungumza na Yuda Thomaso pacha alirekodi.[6]
- Watu wengi wameandika maelezo kuhusu matukio ambayo yalitokea miongoni mwetu. Walitumia kama vyanzo vyao vya taarifa zinazozunguka miongoni mwetu kutoka katika mitume wa mwanzo na mashahidi wengine wa macho wa kile Mungu amefanya katika kutimiza ahadi zake. Nikiwa kwa makini nimechunguza yote ya maelezo haya tangu mwanzo, nimeamua kuandikia ufupisho makini, kukuhakikishia ukweli ninyi wote mliofundishwa. (Luka 1:1-4, NLT)
Unaiona njia ya wazi dhahiri ya Luka inavyoonekana? Na unajua ukweli kwamba iliandikwa karibu na matukio halisi ili iendane na uhakika wake? Ikiwa ni hivyo, hivyo ndivyo kanisa la mwanzo lilivyofikiria pia.
Na wasomi wengi wanakubaliana na maoni ya kanisa la kale kwamba Agano Jipya ni historia halisi ya Yesu. Msomi wa Agano Jipya Raymond Brown amesema kuhusu Injili za Siri za Wachache, “Tunajifunza si tu ukweli mpya pekee wa kuthibitika kuhusu idara ya Yesu ya kihistoria, na minong’ono michache ambayo inawezekana ikawa yake.”[7]
Hivyo, ingawaje maandiko ya siri ya wachache ya kinostiki yamewavutia baadhi ya wanafunzi, tarehe zake za mwisho na utunzi unaopaswa kuhojiwa hauwezi kulinganishwa na Agano Jipya. Tofauti hiyo kati ya Agano Jipya na maandiko ya siri ya wachache wazushi (wanostiki) ya kutisha kwa hao wanaong’ang’ania nadharia ya ushiriki wa hila. Mwanahistoria ya Agano Jipya F.F. Bruce aliandika “Hakuna mkusanyiko wa fasihi za kale duniani unaofaidi utajiri wa uthibitisho mzuri wa maandishi kama Agano Jipya.[8]
Je ni kweli Yesu alifufuka toka katika Wafu?
Swali kubwa zaidi la wakati wetu “Nani ni Yesu Kristo wa kweli?” Alikuwa tu mtu wa pekee, au alikuwa Mungu katika mwili, kama Paulo, Yohana na wafuasi wake waliomini?
Mashahidi wa macho kwa Yesu Kristo kwa kweli walizungumza na walitenda kama walivyoamini, aliinuka kimwili toka katika wafu baada ya kusulubiwa kwake. Ikiwa hawakuwa sahihi basi Ukristu umejengwa katika uongo. Lakini kama walikuwa sahihi, muujiza huo ungethibitisha yote Yesu alisema kuhusu Mungu, yeye mwenyewe na sisi.
Lakini lazima tuchukue ufufuko wa Yesu Kristo kwa imani pekee, au kuna ushahidi mzito wa kihistoria? Wakosoaji wachache walianza uchunguzi kwenye rekodi za kihistoria kuthibitisha maelezo ya ufufuko ni uongo. Ni kitu gani waligundua?
Bonyeza hapa kwa ajili ya kudai zaidi fantastic milele alifanya – ya ufufuo wa Yesu Kristo!
Ni kweli Yesu alifufuka toka katika Wafu?
Mashahidi wa macho kwa Yesu Kristo kwa kweli walizungumza na walitenda kama walivyoamini, alifufuka toka katika wafu baada ya kusulubiwa kwake. Ikiwa walikosea basi uKristu umeanzishwa kwa uongo? Lakini kama walikuwa sahihi, muujiza huo ungethibitisha yote Yesu aliyosema kuhusu Mungu, kuhusu yeye na kutuhusu sisi.
Lakini ni lazima tuamini ufufuko wa Yesu Kristo kwa imani pekee, au kuna ushahidi wowote wa kihistoria? Wakosoaji kadhaa walianza uchunguzi kwenye kumbukumbu za kihistoria kujaribu kuona kama kweli maelezo ya ufufuko yalikuwa uongo. Kitu gani waligundua?
Kuangalia ushuhuda wa madai makuu yaliyowahi kufanyika ya ufufuko wa Yesu Kristo!
Bonyeza hapa kwa ajili ya kudai zaidi fantastic milele alifanya – ya ufufuo wa Yesu Kristo!

« Previous | Next »