Uamuzi wa Historia
Hivyo, ni kitu gani tunahitimisha kuhusu mawazo mbalimbali ya hila kuhusu Yesu? Karen King, profesa wa historia ya kanisa la kikristo Havard, ameandika vitabu kadhaa kuhusu Injili za Kibaguzi ikiwamo Injili ya Mary wa Magdala na Unostika(Ujuzi-baguzi) ni nini,? King, ingawaje ni wakili shupavu wa mafundisho ya wachache, alihitimisha :Mawazo haya kuhusu nadharia ya hila… ni mawazo finyu ambayo hayana msingi wa kihistoria.”[19]
Licha ya kukosa ushahidi, nadharia za hila zitauza mamilioni ya vitabu na kuweka rekodi ya mauzo ya ofisi. Wanafunzi katika nyanja zinazohusiana, baadhi ya wakristu na wengine bila imani hata kidogo, wamebishia madai ya maandiko ya Da Vinci. Vilevile na dhamira zilizoyumba kwa urahisi bado zinashangaa; kunaweza kuwa na kitu fulani baada ya yote?
Mwandishi wa habari wa televisheni aliyeshinda tuzo, Frank Sesno aliuza kundi la wanafunzi wa kihistoria kuhusu kupumbazwa watu wamekuwa nao kuhusu nadharia za hila. Profesa Stanley Kutler toka Chuo Kikuu cha Wisconsin alijibu, “Wote tunapenda mafumbo na siri lakini tunapenda hila-hila zaidi.”[20]
Hivyo, ikiwa unataka kusoma dhana kuu za hila-hila kuhusu Yesu, hadithi za Dan Brown’s, Siri za Da Vinci, zinaweza kuwa ticket kwako. Lakini kama unataka kusoma maelezo ya Yesu Kristo, basi Mathayo, Marko, Luka na Yohana watakurejesha kwenye kile mashahidi wa macho waliona, walisikia na waliandika. Utamwamini nani?
Ni kweli Yesu alifufuka toka katika Wafu?
Mashahidi wa macho kwa Yesu Kristo kwa kweli walizungumza na walitenda kama walivyoamini, alifufuka toka katika wafu baada ya kusulubiwa kwake. Ikiwa walikosea basi uKristu umeanzishwa kwa uongo? Lakini kama walikuwa sahihi, muujiza huo ungethibitisha yote Yesu aliyosema kuhusu Mungu, kuhusu yeye na kutuhusu sisi.
Lakini ni lazima tuamini ufufuko wa Yesu Kristo kwa imani pekee, au kuna ushahidi wowote wa kihistoria? Wakosoaji kadhaa walianza uchunguzi kwenye kumbukumbu za kihistoria kujaribu kuona kama kweli maelezo ya ufufuko yalikuwa uongo. Kitu gani waligundua?
Kuangalia ushuhuda wa madai makuu yaliyowahi kufanyika ya ufufuko wa Yesu Kristo!
Bonyeza hapa kwa ajili ya kudai zaidi fantastic milele alifanya – ya ufufuo wa Yesu Kristo!
« Previous | Next »